BILA KUKAMILIKA UJENZI WA BARABARA YA ITONI-LUSITU, HAKUNA MRADI WA CHUMA WA LIGANGA - MWANYIKA


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuupatia Mkoa wa Njombe miradi mingi ya maendeleo kikiwemo Chuo Kikuu.

Aidha, Mwanyika akichangia hotuba ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 14, 2026 hajasita kueleza ukweli kwamba bila kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Itoni - Lusitu mradi wa chuma wa Liganga hautakuwa na maana, kwani unategemea sana barabara hiyo. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

MCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU AFANYA MAKUBWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA