MBUNGE MFAUME AWAPAMBANIA WANANCHI BUNGENI DHIDI YA WAWEKEZAJI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Zubery Yahya Mfaume ameihoji Serikali kwamba lini Serikali itaingilia kati na kudhibiti migogoro ya ardhi kati ya Wakulima na Wawekezaji wa Morogoro Sugar?

Amehoji hilo katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha Nne, Mkutano wa 3, Bunge la 13 la Bajeti, bungeni Dodoma Aprili 8, 2026..


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

KWA KHERI MAKARANGA UMEUTIMIZA MWENDO...

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

WANAJESHI WAGOMA KWENDA IRAN KUPIGA