SWALI YA KINGALAME BUNGENI LAJIBIWA NA MAWAZIRI WAWILI

Mbunge wa Viti Maalumu, Selina Kingalame ameishauri serikali kuanzisha mfumo wa elimu kwa vitendo (Internship) kwa kada nyingine za elimu kama ilivyo elimu y utabibu. Ametoa ushauri huo katika kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 14, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Habari, Wanu Hafidh Ameir na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete.



 

IMENDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

MCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU AFANYA MAKUBWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA