Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), leo ameshiriki kikao cha Bodi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) tarehe 15 April, 2026.
Chatanda, ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya hospitali hiyo, anaendelea kutoa mchango wake wa kitaalamu na uongozi katika kuhakikisha huduma za afya mkoani Dodoma zinazidi kuimarika kwa manufaa ya wananchi wote.








Comments