Mbunge wa Busokelo, Lutengano Mwalwiba akichangia mambo mbalimbali mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2026/27 bungeni Dodoma Aprili 10, 2026, ambapo pamoja na mambo mengine, amewapa pole waathirika wa mafuriko wilayani Rungwe, ameipongeza Tamisemi kwa kazi nzuri ya kutekeleza miradi ya maendeleo pamoja na malengo ya mikopo kwa wananchi.
Aidha, amempongeza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Mchemba kwa kazi kubwa anayoifanya kutatua kero za wananchi.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments