MWAMENGO AIOMBA SERIKALI KUUPA KIPAUMBELE MRADI WA SONGWE BASIN KUNUSURU MAFURIKO KYELA

Mbunge wa Kyela, Baraka Mwamengo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kijengwe kiwanda cha kuongeza thamani zao la kokoa wilayani Kyela ili kulinda bei ya zao hilo ambalo kwa hivi sasa imeporomoka kutoka sh.. 32, OOO hadi 7,020 kwa kilo. Pamoja na mambo mengine, Mwamengo ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 14, 2026.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

MCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU AFANYA MAKUBWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA