RAIS WA YANGA HERSI ATEULIWA KUWA BALOZI WA KISWAHILI


Bodi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) imemteua rasmi Rais wa Klabu ya Young Africans Sports Club, Hersi Said, kuwa balozi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Mhandisi Hersi atakuwa miongoni mwa mabalozi watatu wa BAKITA, akishirikiana na Salma Kikwete na Jorum Mkumbi,” amesema Consolata Mushi, Katibu Mkuu wa BAKITA.

Tunampongeza Mhandisi Hersi Said kwa heshima hii kubwa, ni uthibitisho wa mchango wake katika kukuza na kuenzi lugha ya Kiswahili. 

Tunamtakia mafanikio mema katika jukumu lake jipya la kuitangaza Kiswahili ndani na nje ya nchi.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

KATI YA WATOTO 7 WA HAYATI MAGUFULI ANAYEJULIKANA ZAIDI NI JESCA

KIKOSI KILICHOITWA TAIFA STARS HIKI HAPA

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

WANAJESHI WAGOMA KWENDA IRAN KUPIGA

MCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU AFANYA MAKUBWA KWENYE HUDUMA ZA AFYA