SERIKALI KUTENGA ENEO LA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA MISITU, PARACHICHI


 Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji imekubali ombi la Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika la kutenga mkoani Njombe maeneo ya kiuchumi ya kujenga viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya misitu na parachichi.

Ahadi hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Steven Chaya alipokuwa akijibu maswali ya Mwanyika wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 20, 2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

UBORA UNAONEKANA: BENKI YA NMB YANG'ARA TUZO ZA EUROMONEY 2026

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.