ABIRIA WALIOTUMIA USAFIRI WA ANGA WAFIKIA MIL. 7

 Katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 2026, abiria waliotumia usafiri wa anga waliongezeka na kufikia abiria Milioni 6.81 ikilinganishwa na abiria Milioni 6.037 katika kipindi kama hicho cha mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ongezeko la asilimia 12.63. 


Kwa upande wa mizigo kati

ka kipindi hicho, jumla ya tani 34,750.2 zilisafirishwa ndani na nje ya nchi, ikilinganishwa na tani 33,112.5 zilizosafirishwa ndani na nje ya nchi katika kipindi kama hicho mwaka 2024/25.


Hayo yameelezwa na Wazari wa Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa  alipokuwa akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 13, 2026.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE