TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO


: Mwandishi wa habari wa mkoa wa Kigoma, Editha Karlo, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Kigoma, Jacob Ruvilo, aliyesema kuwa marehemu alifariki Jumatano mchana Aprili 28,2026 akiwa nyumbani kwao wilayani Kasulu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kabla ya umauti wake marehemu alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE

MAJANI YA MAPERA NA MATUMIZI YAKE YA KITIBA

RAIS ALİYEISHI KAMA MUNGU WAKATI WATU WAKE WAKIFA NJAA

ZIJUE TIBA ZA MMEA WA MSHONA NGUO.