DKT. MAJULE ATAKA MABATI, SARUJI YAWEKEWE RUZUKU


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wa mkoa huo, Neema Majule ameishauri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanya jitihada za kuwamilikisha wanawake ardhi ili kuepusha migogoroya mirathi.

Pia ameishauri Serikali kuweka ruzuku kwenye mabati na saruji ili wananchin wajenge nyumba za kisisa zitakazoendana na maendeleo makubwa ya nchi. Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 29, 2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA