LEO BUNGENI DODOMA
(Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia)
Prof Sospeter Muhongo amechangia na kutoa ushauri wa sisi (Tanzania) kuwa na mfumo bora wa elimu unaoweka mkazo kwenye masomo ya sayansi.
Mbunge huyo wa Jimbo la Musoma Vijijini amesisitiza umuhimu wa elimu ya sayansi kwa ukuaji mkubwa wa uchumi wetu ndani ya Dira 2050.
Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

Comments