NJOMBE MJINI INA VIJIJI 44 VYENYE MATATIZO YA MAJI

 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amewaka bungeni kuhusu uchache wa miradi ya maji Njombe Mjini, akitaja vijiji lukuki visivyo na maji kikiwemo kijiji alichozaliwa cha Uwemba.

Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Mei 6, 2026.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

NGUVU YA UJASUSI WA TANZANIA KITOVU CHAKE NI IRINGA TANGU ENZI ZA MKWAWA