Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingia makubaliano na Jukwaa la Mabunge ya Nchi Ukanda wa Maziwa Makuu ambapo Tanzania imekubali kuandaa mkutano wa Wanawake wa Mabunge hayo utakaofanyika nchini mwezi Novemba 2- 5 Mwaka huu.
Wanaoelezea kuhusu makubaliano baada kutiliana saini bungeni Jijini Dodoma Mei 13, 2026, Ni Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard na Deo Mwapinga Katibu Mkuu wa Jukwa la mabunge ya Nchi hizo..

Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akizungumza baada ya kutiliana saini makaubaliano hayo.
Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard na Deo Mwapinga Katibu Mkuu wa Jukwa la mabunge ya Nchi hizo..


Comments