DKT. MAJULE AITAKA SERIKALI KUELEIMISHA WANAWAKE KUHUSU ALAMA ZA BIASHARA


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tbanzania(UWT) wa mkoa huo, Dkt. Neema Majule  ameishauri serikali kuanzisha mafunzo  ya kuwaelimisha wanawake kuhusu alama za biashara ili wawe na uelewa zaidi.

Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 5, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Denis  Londo..


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA