RAIS DKT. NANDI WA NAMIBIA AZURU MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WILAYANI KONGWA

Rais wa Namibia,Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah Nandi akiweka mashada ya maua kwenye makaburi ya wapigania ukombozi wa nchi hiyo alipozuru makaburi hayo wilayani Kongwa wakati wa ziara yake nchini, Juni 21, 2026. 


Wakati wa ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyeji  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Prof. Paramagamba Kabudi alitembelea pia Kambi iliyokuwa ya Wapigania Ukombozi wa Afrika na kuweka jiwe la Msingi kwenye kiwanja patakapojengwa ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.







 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA