SERIKALI KUSHUSHA BEI YA MAFUTA NCHINI

 Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ametangaza kushuka bei ya mafuta kuanzia mwezi ujao kufuatia kusitishwa kwa vita kati ya Irani, Marekani na Israel iliyosababisha bei kupanda.

Ametangaza bungeni baada ya Mbunge wa Bagamoyo Subira Mgalu kuomba muongozi wa Spika apate ufafanuzi wa bei ya mafuta baada ya vita hivyo kusitishwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

SERIKALI YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA DIT KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI