Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Doroth Gwajima akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Juni 1, 2026.
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mhandisi Maryprisca Mahundi akijibu baadhi ya michango ya wabunge.


Comments