MWAKAGENDA ACHANGIA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA SHULE YA KIPOKE



Sophia Mwakagenda akiahidi kuchangia mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ya kusaidia ujenzi wa jengo la utawala la Shule ya Sekondari ya Kipoke wilayani Rungwe, Mbeya juzi. Mwakagenda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za mahafali ya kidato cha nne shuleni hapo.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MVUA ZA EL NINO ZINASABABISHWA NA NINI?.