Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi ametoa wito kwa madereva kufuata leseni baada ya kushughulikia mashauri ya madereva hao ambao waliwasilisha malalamiko yao wakati wa changamoto ya Madereva wa Mabasi iliyotokea Tarehe 29/9/2026 maeneo mbalimbali nchini.
Waziri Katambi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaa baada ya kukutana na Uongozi wa Juu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ukiongozwa na Naibu Waziri,Ayoub Mohammed Mahmoud ambapo pia Waziri Katambi amefafanua hatima ya madereva wengine waliobakia ambapo amewataka kufika Ofisi ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kwa ajili ya taratibu za kisheria huku akiwataka madereva nchini kutii sheria na kanuni za usalama barabarani ili kuepusha madhara ya vifo na majeruhi.
Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa maelekezo yake katika kuziendea changamoto za madereva ambapo Wizara ilipokea maagizo hayo kupitia kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.
.jpeg)
Comments