KAPIMENI UKUBWA WA VIUNO VYENU- WAZIRI MCHENGERWA

Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa amewataka Watanzania kujenga  tabia ya kufanya mazoezi na kwenda hospitali kupima afya zao ikiwemo ukubwa wa viuno ili kuepukana na wimbi kubwa la magonjwa ya kuambukizwa.


Pamoja na mambo mengine, Mchengerwa ameyaseme hayo alipokuwa akihutubia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) yaliyohanikizwa pia na mashindano ya mbio jijini Dodoma Novemba 29, 2026.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

TUCTA WAPATA RAIS MPYA

TIMU YA NGORONGORO KAMA DOUMBIA

KAMISHNA DKT.BADRU ATUA KAMBI YA TIMU YA NGORONGORO KAMA SELEMANI MWALIMU