MAMBO YAMEIVA UCHAGUZI MKUU WA RAAWU

  Msajili Msaidizi wa Vyama vya Wafanyakazi,Mussa Msami (wa tatu kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti (RAAWU), Jane Mihanji (wa pili kushoto) na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 7 wa RAAWU jijini Dodoma Novemba 19, 2026. Kutoka kulia ni Mweka Hazina wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), James Kalanje, Makamu Mwenyekiti wa TUCTA, Shaban Mwabungulu na Katibu Mkuu wa RAAWU, Joseph Sayo na  kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa RAAWU, Simon Mbai. 
Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti (RAAWU), Jane Mihanji akitoa neno la utangulizi alipokuwa akimkaribisha Mgeni rasmi Msajili Msaidizi wa Vyama vya Wafanyakazi,Mussa Msami kufungua mkutano huo.

Mwenyekiti wa RAAWU, Mihanji akimshukuru Msajili Msaidizi wa Vyama vya Wafanyakazi,Mussa Msami baada ya kufungua mkutano huo.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Wafanyakazi,Mussa Msami akihutubia.
Katibu Mkuu wa RAAWU, Joseph Sayo akimshukuru Msajili Msaidizi wa Vyama vya Wafanyakazi,Mussa Msami.



Viongozi wastaafu wa RAAWU wakitambulishwa wakati wa mkutano huo. Kutoka kushoto ni Tamasha Mahiza Mwenyekiti Mwanzilishi wa Kamati ya Wanawake, Everist Mwalongo Katibu Mkuu mstaafu Kanda ya Mashariki na Joel Kajula Mwanzilishi wa RAAWU na Mwenyekiti mstaafu Kanda ya Mashariki 1994-2005.
Naibu Katibu Mkuu wa RAAWU, Simon Mbai. 




 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UJUE UKWELI KUHUSU JIJI LA MBEYA (GREEN CITY)

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

TIMU YA NGORONGORO KAMA DOUMBIA

KAMISHNA DKT.BADRU ATUA KAMBI YA TIMU YA NGORONGORO KAMA SELEMANI MWALIMU