RIDHIWANI KIKWETE NDANI YA JIMBO LA MTAMA

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa,Ridhiwani Kikwete akimkabidhi
cheti Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya ya Baraza la Umoja wa Vijana Mkoa wa Lindi, Salma Kibwana baada ya kushiriki katika kambi ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2010 wilayani
Kilwa.vyeti hivyo vilitolewa pia kwa vijana wengine walioshiriki kambi hiyo katika mkutano
wa vijana wa CCM, Kiwalala jimbo la Mtama jana. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.