Meja Martin Francis Mgando ni miongoni mwa maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania   waliojitokeza kumlaki Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi  alipowasili Wizarani hapo kuanza kazi rasmi kwa awamu nyingine baada ya kuteuliwa tena  ana Rais Jakaya Kikwete kuendelea kuiongoza Wizara hiyo kwa awamu nyingine ya miaka mitano.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI