Rais Jakaya Kikwete akipiga makofi mbele ya kombe la Tusker CECAFA
Challenge Cup 2010 mara baada ya kuzindua rasmi michuano hiyo kwenye
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo,wengine kutoka kulia
mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya CECAFA, Waziri wa Habari Vijana
Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL
Richard Wells na kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko SBL Caroline
Ndungu, Mkurugenzi wa Mahusiano SBL Teddy Mapunda pamoja na Rais wa TFF
Leodger Tenga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI