MIGUU YA HAJA!


Comments

Mbele said…
Ukweli ni kuwa asilimia kubwa ya wa-Tanzania wakiiona miguu hii watasema inavutia sana. Lakini hawathubutu kukiri hivi wanapoenda kwenye hayo yanayoitwa mashindano ya urembo, ambako mwanamke mwenye miguu kama hii hana nafasi ya kushinda, kwani vigezo ni vya Ulaya.

Wa-Tanzania wanasikitisha kwa ulimbukeni na ukasuku wa akili, jambo ambalo nimelielezea katika kitabu cha CHANGAMOTO.

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--