ATEMBEA KWA BAISKELI TOKA AFRIKA KUSINI HADI KILIMANJARO

1 & 2. Bw. Richard Goodhead ambaye amekimbia kwa miguu kutoka Cape Town Afrika Kusini mpaka Moshi akiwasili kwenye hoteli ya Keys kwa ajili ya kujiandikisha kushiriki mbio ndefu za kilomita 42 za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika kesho Moshi mjini. Richard alianza safari tarehe moja Oktoba mwaka jana na safari yake imetumia muda wa miezi mitano na nusu.
 


6. Bw. Richard Goodhead ambaye amekimbia kwa miguu kutoka Cape Town Afrika Kusini mpaka Moshi akijiandikisha kushiriki mbio ndefu za kilomita 42 za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika kesho Moshi mjini muda mfupi baada ya kuwasili Moshi mjini. Richard alianza safari tarehe moja Oktoba mwaka jana na safari yake imetumia muda wa miezi mitano na nusu.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA