KAMATI YA USLAMA YA BUNGE YAWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakiangalia nyumba ya Alphonce Mlawa, iliyopo Gongo la  Mboto mwisho wa lami, iliyoathiriwa na milipuko ya mabomu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kuwaongoza wabunge jana, kutembelea waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA