KAMPUNI YA MAWALA YAKANUSHA KUNUNUA SOFTWARE

Wakili kutoka Kampuni ya Mawalla Advocates kutoka Arusha Nyaga Mawalla (kulia) akionyesha kielelezo  na kivuli cha gazeti  moja kilichoandika habari kuhusu Kampuni ya Mawala kufanya biashara ya kununua software kwa thamani ya shlingi bilioni moja. Kampuni hiyo imekanusha mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kwamba haijawahi kufanya biashara  hiyo. Pichani (shoto) ni wakili Lemmy Bartholomew wa Kampuni ya Mawalla Advocates. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO. 
chini 
Baadhi ya waandishi wa habari wakipata ufafanuzi kutoka meza kuu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA