NI AJABU NA KWELI YA MABOMU DAR

Utumbo wa mtu aliyekuwa akikimbia milipuko ya bomu kutoka Gongo la Mboto, ukining'inia kwenye nyaya za umeme baada ya mtu huyo kusambaratishwa na bomu karibu na daraja linalotenganisha Kitunda na Kivule, Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)


Damu ikiwa imetapakaa ukutani baada ya mtoto Kheri Hassan (16), kupigwa na bomu akiwa nje ya nyumba yao eneo la Pugu, Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakichimba jana  kaburi atakamozikwa marehemu Kheri Hassan (16), aliyeuawa kwa bomu eneo la Pugu Kajiungeni ambalo lipo karibu na ghala la kuhifadhia mabomu la JWTZ, Gongo la Mboto, Dar es Salaam lililolipuka juzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 Wafanyakazi wa Taasisi ya Msalaba Mwekundu, wakimvisha nepi mtoto aliyepoteana na wazazi wake na kuhifadhiwa na Serikali eneo la Sabasaba
Leah Kapinga akimbusu mwanawe Naomi  baada ya kumtambua alikohifadhiwa Sabasaba baada ya kupoteana kwa muda wa siku mbili wakikimbia mabomu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI