NHIF YAWAMWAGIA MSAADA WA SH. MIL 6 WAATHIRIKA WA MABOMU

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis Mdee (kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha na Ugavi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Philemon Felix msaada wa dawa mbalimbali zenye thamani ya sh. milioni 2.2 na mashuka 100 kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto waliolazwa MOI. Wanaoshuhudia makakabidhiano hayo yaliyofanyika katika Taasisi hiyo jana, ni Meneja Uhusiano wa MOI, Jumaa Almas na Meneja wa NHIF, Luhende Singu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis Mdee (kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha na Ugavi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Philemon Felix msaada wa dawa mbalimbali zenye thamani ya sh. milioni 2.2 na mashuka 100 kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto waliolazwa MOI. Wanaoshuhudia makakabidhiano hayo  ni wafanyakazi wa NHIF na MOI.

Mfanyakazi wa NHIF akipakua msaada huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI