TANESCO YAKATAA KUWASHA MITAMBO YA DOWANS

Mhando
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO), William Mhando akizungumza na waandishi wa habari, jana katika Ofisi Ndogo za Bunge, Dar es Salaam, ambapo akanusha habari kuwa mitambo ya ya kufua umeme ya Dowans imewashwa ili kusaidia kupunguza mgawo wa umeme. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA