TBL WAFANYA MAMBO MOSHI

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,Christopher Mutamakaya (katikati), akifuatana na  Mkuu
wa Chuo Ushirika Moshi,Profesa Faustine Bee (kulia) pamoja na Meneja wa TBL Kanda ya
Kaskazini Mashariki, Kasiro Msangi kukagua Uwanja wa Chuo hicho,uliokarabatiwa na TBL na
kuukabidhi kwa uongozi wa chuo jana. Uwanja huo utatumika leo kwa mbio za Kilimanjaro.


Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,Christopher Mutamakaya akikata utepe ikiwa ni ishara
ya uzinduzi wa viwanja vitatu vya netiboli, wavu na kikapu vilivyojengwa kwa msaada wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi. Katika shamrashamra
za mbio za Kilimanjaro zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro. Mbio hizo zinafanyika leo
kwenye uwanja huo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja,Naibu Mkuu wa
Chuo, Leoe Donge, Mkuu wa Chuo hicho,Profesa Faustine Bee, Mshauri wa wanafunzi wa chuo
hicho, Dk. John Haule na Meneja wa TBL Kanda ya Kaskazini Mashariki, Kasiro Msangi.


Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,Christopher Mutamakaya akijiandaa kurusha mpira golini
wakati wa uzinduzi wa uwanja wa kikapu uliojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi. Katika shamrashamra za mbio za Kilimanjaro
zinzodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, TBL ilikadhi pia viwanja vya netiboli na wavu kwa
uongozi wa chuo hicho jana.

Baadhi ya washiriki wa mbio za Kimataifa za Kili 2011, wakijiandikisha jana katika Hoteli ya
Keys, mjini Moshi, tayari kushiriki mbio za umbali wa Km 42 leo. Mbio hizo zinadhaminiwa na
bia ya Kilimanjaro Premium Lager

TBL wakikabidhi jengo la stendi Kuu ya Manispaa ya Moshi ambalo limefapakwa rangi kwa msaada wa TBL

Mkurugenzi Mtendaji wa Kamapuni ya Bia Tanzania (TBL), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, kuhusu maandalizi ya mashindano hayo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI