VODACOM YAZIDI KUMIMINA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MABOMU

Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa jangwa la mabomu ya Gongo la mboto,wa pili toka kushoto Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Dietlof Mare,Mkurugenzi wa mahusiano Mwamvita Makamba,mwisho kulia Meya wa manispa  ya ilala  Jerry Silaa

Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read akiongea jambo wakati wa makabidhiano wa  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa jangwa la mabomu ya Gongo la mboto, wa pili toka kushoto Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Dietlof Mare,Mkurugenzi wa mahusiano Mwamvita Makamba,mwisho kulia Meya wa manispa  ya ilala  Jerry Silaa

Meya wa manispa  ya ilala  Jerry Silaa akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read mara baada ya kukabidhi mfano  wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa jangwa la mabomu ya Gongo la mboto.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA