JK NDANI YA NDEGE YA KIVITA DAR


Mtaalamu Msaidizi na Rubani wa ndege za kijeshi katika Jeshi la China Plt. Gao, akimweleza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya
Kikwete matumizi ya kitaalam  ya urushaji wa ndege ya kijeshi JW 9242  F 7 G kutoka China, wakati Rais alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing jana Dar es salaam.(PICHA NA AMOUR NASSOR)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--