Baadhi ya washiriki wa Semina Elekezi kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali,wakiwa nje ya ukumbi wa St Gasper mjini Dodoma, baada Rais Jakaya Kikwete kufungua semina hiyo.,



Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Salum Shamte (kushoto) akiteta jambo na Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya wakati wa semina hiyo.



Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,Rashid Othman (wa pili kushoto), akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Emmanuel Nchimbi huku Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema wakiwasikiliza.









Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa wakati wa semina hiyo.








Viongozi mbalimbali wakiwa katika semina elekezi,. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Ramadhan Othman, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema na Kamishna wa Magereza, Augustino Nanyaro.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.