MAMBO YA SEMINA ELEKEZI DODOMA



Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakijadiliana mambo nje ya ukumbi wa St Gaspar,mjini Dodoma, ambamo semina elekezi kwa viongozi na watendaji wakuu wa Serikali inafanyika.Katikati ni ni Bonge wa Clouds Radio.

Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, ambaye pia ni mtayarishaji wa Blogu hii, Richard Mwaikenda, akipima afya yake huduma inayotolewa bure kwenye semina hiyo.


Mwandiishi wa gazeti la Jambo Leo, Said Mwishehe anayeripoti semina hiyo, naye akipimwa afya yake.






Rais Jakaya Kikwete (katikati) wakijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (kushoto) usiku juzi baada ya kumalizika kwa Semina Elekezi ya Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman















Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman walipokuwa wakitoka kwenye ukumbi St. Gasper, mjini Dodoma, baada ya kumalizika siku ya kwanza ya Semina Elekezi ya Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali juzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.