SHY-ROSE AIZAWADIA TIMU YA JIMBO LA KINONDONI SH. 1,000,000

Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Shy-Rose Bhanji akimkabidhi Nahodha wa timu ya Jimbo la Kinondoni, Mohamed Zorro zawadi ya sh. 1,000,000 za wachezaji wa timu hiyo iliyotwaa ubingwa wa soka katika mashindano yaliyoshirikisha timu za majimbo ya Nane ya uchaguzi ya Mkoa wa Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi ilifanyika Makao Makuu ya CCM Wilaya ya kinondoni leo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Shy-Rose akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wachezaji wa timu hiyo



Shy-Rose akizungumza nao baada ya kuwapatia zawadi hiyo













Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA