TBL YASAIDIA UJENZI WA ZAHANATI YA KIDOMOLE,BAGAMOYO.

Wananchi wa Kijiji cha Kidomole wilayani Bagamoyo, wakipanga matofali yaliyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga. Hafla hiyo ilifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.

Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu akimkabidhi Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga, msaada wa jenereta pamoja na kompyuta kwa ajili ya Maktaba ya Sinza E, Dar es Salaam.



Shujaa wa Safari, Paul Luvinga akimkabidhi matofali 800 Mwenyekiti wa Serikali ya Kijij cha Kilomole, Bagamoyo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati kijijini hapo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.





Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga (kulia), akimkabidhi mwenyekiti wa Kijiji cha Kidomole, matofali yaliyotolewa na TBL kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Kidomole.Katikati ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.







Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akimkabidhi Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga kwa ajli ya ujenzi wa zahanati ya Kidomole. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.