WAKALI WA KILI MUSIC AWARD 2011 WAFANYA KWELI MWANZA

Joe Makini
Mwanamuzi bora wa Hip Hop, John Makini 'Joe Makini' akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. (Na Mpigapicha Wetu).


20%
Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. (Na Mpigapicha Wetu).


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, akicheza na mpenzi wa muziki huo (kulia) wakati wa tamasha hilo.






Wapenzi wa muziki wa wakishangilia wakati Msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. (Na Mpigapicha Wetu).






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.