Wapiganaji wateka Zinjibar, Yemen


· Taarifa za kutatanisha kutoka Yemen zinasema watu mia kadha wenye silaha, wanaoshukiwa kuwa wafuasi wa Al Qaeda, waliuteka mji wa Zinjibar kusini mwa nchi baada ya mapigano makali ya siku mbili.

·

·

· LLakini upinzani wamemshutumu Rais Saleh, kuwa alikabidhi mji huo kwa makundi yake yenye silaha, kuzua picha kuwa Al Qaeda imehusika.

· Bwana Saleh amedai kwa muda mrefu kuwa yeye pekee ndiye anaweza kupambana na Al Qaeda nchini Yemen.

· Mchambuzi mmoja mjini Sanaa aliiambia BBC, kwamba makundi hayo yenye silaha siyo ya Al Qaeda, na kwamba wanajeshi wa serikali waliondoka Zinjibar bila ya kupigana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.