BUNGE LAANZA KIKAO LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaongoza wabunge wa Bunge la Tanzania kuimba wimbo wa Taifa jana mjini Dodoma kuashiria kuanza kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania.(PICHA NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO)

Baadhi ya wabunge wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kipindi cha maswali na majibu jana mjini Dodoma wakati wa kuanza kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma.




Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli mjini Dodoma kabla ya kuanza kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania.(PICHA NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO)





Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga (Walemamvu) Al.Shaymaa Kwegyir mara baada ya kutoka kwenye kipindi cha maswali na majibu kwenye Mkutano wa Nne wa Bunge la Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012.(PICHA NA NICHOLOUS MMBAGA-PMO)






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.