DK SHEIN AMWAPISHA FATMA BILALI KUWA KATIBU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jumuiya ya watu Wanaoishi na maradhi ya kisukari Zanzibar,waliopofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumpongeza Rais,na kufanya mazungumzo na jumuiya hiyo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Fatma Gharib Bilal,kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,na Maedeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU,ZNZ)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.