HILARY CLINTON AWASILI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hilary Clinton akilakiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe jioni hii kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam,
alipowasili kwa ziara ya siku tatu nchini. Mama Clinton ambaye
ametokea Zambia. Kwa mujibu wa ratiba, kesho atakuwa na
mazungumzo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mawaziri, halafu
baadaye atakwenda Kibaha kuzindua mpamgo wa chakula, pia mchana huo atakwenda kutembelea Mtambo wa Umeme wa Simbion Ubungo na kutembelea tena Kituo cha Afya cha Bunguruni. Jioni atakutana na Rais Jakaya Kikwete pamoja na kuzungumza na vyombo vya habari. (PICHA NA BLOGU YA JAMII)



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.