JAMANI COCA NI TAMU!

Wafanyabiashara wa nguo za mitumba, viatu, katika kituo cha Ilala wanaofahamika kama wamachinga walilazimika kusimamisha biashara yao kwa muda na kukimbia kwenda kupanga foleni jana eneo la Karume,ili kujipatia Coca-Cola baridi, kofia na Tshirt kutoka gari la Coca-Cola Open Happiness linazunguka mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kugawa zawadi hizo bure.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.