MAHAKAMA YAAMURU MOKIWA AKAMATWE

Askofu Mkuu wa Kanisa Dr Valentino Mokiwa
--SAKATA la mgogoro wa Kanisa la Anglikana mkoani hapa limechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutoa hati ya kukamatwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo nchini. Mbali ya hilo pia Mahakama hiyo awali ilisimamisha shughuli zote za usimikaji wa Askofu na juzi pia kutoa hati ya kukamatwa kwa Askofu aliyesimikwa juzi,Stanley Hotay. Kutokana na amri hiyo, iwapo Askofu Hotay atakamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la kukaidi amri ya Mahakama, huenda akawa amepoteza sifa za kuwania tena kiti hicho cha uaskofu kwa mujibu wa taratibu za kanisa hilo.Kwa Habari Zaidi Bofya na Endelea......>>>


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI