MAMBOYA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wasira akizungumza jambo na Mbunge wa Bungo John Myika (CHADEMA) ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma.

Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR –Mageuzi) akizungumza jambo na Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde (CCM) nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.



Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Bw. Nguyen Duy Thien akizungumza jambo wakati wa mkutano kati ya viongozi wa Bunge la Vietnam na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama leo mjini Dodoma.





Naibu waziri wa Filamu na Sanaa za Maigizo wa Iran Bw. Javad Shamaqdar (wa kwanza kulia) akimkabidhi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi mkoba wenye kazi za wasanii kutoka nchini Iran leo mjini Dodoma. Anayeshuhudia ni mshauri wa masuala ya Utamaduni wa Ubalozi wa Iran nchini Bw. Morteza Sabouri.
















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.