MISS AFRICA CROWN SCANDINAVIA AWASILI

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akiwapungia mkono wananchi walikwenda kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana jini Dar es salaam . Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.
Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akishuhudia kikundi cha ngoma toka Mburahati jijini Dar es salaam wakati kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana jini Dar es salaam . Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.

Picha na Tiganya Vincent, Dar es salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.