NAPE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI CHA SPD CHA UJERUMANI AMBACHO KINAONGOZA JIJI LA HUMBERG

Schmidt, akimpongeza Nape baada ya kuvutiwa na mazungumzo yao





Nape akiwaonyesha wageni hao, bango lenye picha za Baraza la Mawaziri la Rais Kikwete





Nape akiwa katika picha ya pamoja na Schmidt, pamoja na ujumbe wa mgeni huyo, mbele ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.








KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (wapili kushoto), akizungumza na kiongozi kutoka chama cha upinzani cha SPD cha Ujerumani ambacho kinaongoza jiji la Humberg nchini humo, Wolfgang Schmidt, (wapili kulia), wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Stefan Herms kutoka chama hicho.








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.