SHOO YA HUGH MASEKELA YAVUNJIKA DAR

Onesho la mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa Jazz, Hugh Masekela (kulia) kutoka Afrika Kusini, limevunjika baada ya mwanamuziki huyo kutotokea jukwaani kwa madai kwamba waandaaji walikuwa hawamlipa malipo yake waliyokubaliana.

Habari tulizozipata kutoka kwa wapenzi wa muziki walioingia katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki, Dar es Salaam kufurahisha nyoyo zao. walishindwa kupata raha waliyoiripia kwa hela nyingi, baada ya Masekela kutotokea bali walichoambulia ni shoo ya Sauda Kilumanga tu.

Wapenzi wa muziki waliojaa pomoni ukumbini hap, baada ya kuona hivyo walighadhibika na kuanza kulalamika na kutukana ovyo. Wadhamini wakuu wa onesho hilo ni Benki ya Stanbic.

Kamanda wa Matukio itaendelea kuwajulisha mambo mbalimbali yaliyojiri kwenye shoo hiyo na hasa sababu zaidi za uzembe huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.